Jarida juu ya Maisha ya MwAfrika katika huduma ya Ukristo
Produktform: Buch / Einband - fest (Hardcover)
Yaliyomo ni kazi za Jim Harries alizoandikwa tangu mwaka wa 2006 mpaka 2019. Maandishi yake yanaangalia sana utumizi wa lugha kwa huduma ya Ukristo kwa bara la Afrika. Anataja mada mengine pia; utume, mafunzo ya Bi- blia, utamaduni wa Kiafrika, maendeleo, uchawi, nk. Alipendelea ayaweke ma- andishi yake pamoja ndani ya kitabu kimoja. Jim anatumaini maandishi yake yatakuwa himizo kwa wenyeji wa Afrika ya Mashariki kuandika maono ambayo wamepewa na Bwana, na yale waliojifunza kulingana na huduma yao.weiterlesen
Dieser Artikel gehört zu den folgenden Serien
16,00 € inkl. MwSt.
kostenloser Versand
lieferbar - Lieferzeit 10-15 Werktage
zurück