Noch Fragen? 0800 / 33 82 637

Malezi na Elimu ya Kiinjili katika Nchi inayoendelea Tanzania

Mchango kwa Mazungumzo ya Tamaduni mbalimbali za Makanisa ya Kiinjili

Produktform: Buch / Einband - flex.(Paperback)

Judah B.M. Kiwovele aliandika doctoral thesis hii mwaka wa 1982. Alijaribu kuunganisha mapokeo ya kiutamanduni ya kibena na mafundisho ya Martin Luther ili kuonyesha njia ya "inculturation" ya Imani ya Kikristo katika mazingira na hali halisi ya Tanzania Kusini. Andiko hili linakuwa na maelezo mazuri ya mila na desturi ya kibena pamoja na ya hali ya wakati wa Uhuru wa Tanzania (Ujamaa). Kwa hiyo andiko hili ni sauti nzuri na kumbukumbu muhimu ya njia ya kuelekea na kutengeneza uhuru nchini. Kwa hiyo andiko lake limetafsiriwa sasa katika lugha ya Kiswahili.weiterlesen

Sprache(n): Swahili

ISBN: 978-3-87214-907-7 / 978-3872149077 / 9783872149077

Verlag: Erlanger Verlag für Mission und Ökumene

Erscheinungsdatum: 27.05.2011

Seiten: 275

Auflage: 1

Autor(en): Judah Bernard Matata Kiwovele

15,00 € inkl. MwSt.
kostenloser Versand

lieferbar - Lieferzeit 10-15 Werktage

zurück